07
Event Starts
Semina na Mafunzo kwa Wananchama wa Nyumbu SACCOS LTD
1. BAGAMOYO-Tarehe 07 na 08 Novemba 2025
2. ARUSHA- Tarehe 14 na 15 Novemba 2025
3. DODOMA- Tarehe 21 na 22 Novemba 2025
Siku zilizosalia Mkutano/Semina kuanza ni:
--
Matukio / Events
Semina na Mafunzo kwa Wananchama wa Nyumbu SACCOS LTD
About Us / Kuhusu Sisi
Jisajili Kidigital Company Ltd ni kampuni ya huduma za kidigital inayobobea kusimamia na kuendesha matukio (events) ya aina zote — kutoka semina, warsha, tamasha, hadi mikutano ya biashara.
- Usimamizi kamili wa matukio (registration, ticketing, check-in)
- Marketing na promotion za event (digital ads, social media)
- Live streaming & tech support
- Upigaji picha na kurekodi video za Matukio mbalimbali katika Event
- Ripoti za baada ya tukio na analytics
Pata maelezo zaidi au uweke booking kupitia namba: +255717 160105 / +255655 259494