Fomu ya Usajili wa Mwanachama
Hatua 2: Jaza taarifa zote. Kisha bonyeza Next / Sign ili kuweka sahihi.
Mwongozo:
- Namba ya Simu inatumika mara moja tu.
- Hakikisha Baada ya Usajili Umepokea Email ya uthibitisho ikiwa na QR code.
- Hakikisha Siku ya Mkutano Umekuja Na simu yenye Email iliyotumiwa QR code
- Sahihi itahifadhiwa pamoja na taarifa kwenye database.
- KUMBUKA: Mwanachama utajigharamia Gharama za kufika eneo la Semina.
Na Gharama za Malazi zisizidi TZS 30,000 kwa siku, Utarudishiwa na Chama baada ya kuwasilisha Risiti
Server: Offline — hakikisha
Umeunganishwa iko kwenye server.